App Huduma za usafi Jinsi inavyofanya Ingia Jisajili bure
🧹 Usafi · Huduma · Kazi salama

Pata mfanyakazi wa usafi unayemwamini β€” haraka na salama

TendaPoa inaunganisha wateja na wafanyakazi halisi wanaofanya usafi wa nyumba, ofisi, na mazingira mengine. Chapisha kazi kutoka simu, chagua mtoa huduma, na lipa kwa escrow.

πŸ”’ Malipo salama ⭐ Wafanyakazi halisi πŸ“± App ya Android
Mfanyakazi wa usafi akifanya kazi β€” huduma ya TendaPoa

500+

Kazi za usafi zilizokamilika

App ya simu

Tazama jinsi app inavyofanya

Mteja anachapisha kazi kwa sekunde chache. Mfanyakazi anaona orodha ya kazi karibu naye na kuomba kufanya.

Mteja β€” Chapisha Kazi

Mfanyakazi β€” Orodha ya Kazi

Watu halisi, kazi halisi

Huduma za usafi zinazoonekana

Kutoka nyumba hadi ofisi β€” wafanyakazi wetu wanafanya kazi kwa uangalifu, uaminifu, na matokeo unayoyaona.

Hatua 3 tu

Jinsi TendaPoa inavyofanya

1

Chapisha mahitaji yako

Eleza kazi ya usafi au huduma unayohitaji, weka bei, na eneo lako.

2

Chagua mfanyakazi

Linganisha maombi, angalia profaili, na chagua mtoa huduma unaempenda.

3

Lipa salama & thibitisha

Malipo ya escrow yanamlinda mfanyakazi na wewe hadi kazi ikamilike.

Aina za huduma

Chagua kategoria unayohitaji

Watu wanaamini TendaPoa

500+

Kazi zilizokamilika

200+

Wateja kila mwaka

5+

Miaka ya uzoefu

100%

Escrow salama

Mteja

Unahitaji usafi au huduma?

Jisajili na uchapishe kazi yako leo.

Anza kama Mteja

Mfanyakazi

Unafanya usafi au huduma?

Pata kazi karibu nawe na ujipatie kipato.

Anza kama Mfanyakazi